Thursday, October 18, 2012

JENIIFER KYAKA (ODAMA) KUSHUKA BONGO NA VIFAA VYA MOVIE


Kampuni ya J-Film 4 Life inapenda kuwajulisha kuwa sasa imeongeza vifaa vipya vya movie vyenye viwango vya kimataifa. Tegemeeni kupata movie katika quality ya hali ya juu sana kutoka J-Film 4 Life iliyoko Kinondoni Biafra Tanzania.

Kama wewe ni msanii wa Bongo Movie unakaribishwa katika kampuni yake ya kisasa.Mkurugenzi wa J-Film 4 Life akichagua camera kali na za kisasa.

 Mmeona mambo haya!!!
 Kazi imepamba moto katika kuchagua stand maridadi kwaajili ya camera
 Duh hii kiboko!!!
 Mama yangu kazi imeanza..ni balaaaa!!!!
Unaionaje hii??

 Mhh!!

ANGALIA PICHA ZINGINE "Read More" HAPO CHINI
 Baada ya kuchagua saaaaana , nikaamua kupumzisha akili kwanza...!!!
 Duh hizi silaha au stand????
 Kazi imeanza sasa kutafuta Boom Mic ya ukweli, si unajua mambo ya sauti kwenye movieeeeee!!!
 Nikikagua Stick ya Boom
 Mhh!! Kazi ipo!!!
 Bei gani kwani??
 Iko poa!!!
 What?

SIKU YA PILI KAZI ILIENDELEA YA KUTAFUTA VIFAA  VINGINE BORA VYA MOVIE.
 Leo kazi ipo!!!
Baada ya zoezi zima kumalizika ukafika wakati wa kupata snaps za kumbukumbu

MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment