Katika Hali isiyo ya kawaida yule kijana ambae video yake ilienea
mtandaoni akiongea kuwa Diamond ni kaka yake wa damu walio changia
baba...na kusema kuwa Diamond Amemtelekeza na kuwa hataki kumsaidia kwa
vyovyote....Jana katika Kipindi cha XXL segment ya U-heard Amesema kuwa
Hamjui Diamond na wala si kaka yake ....Alipoulizwa kuhusu Video
aliyorekodi Akimtuhumu Diamond alisema kuwa alichezewa mchezo na rafiki
ake ambae alimwambia Afanye kama ana Act kuongea hivyo coz anafanana na
Diamond kwa Sura,,,Baada ya Ku act hivyo alishangaa Kesho yake video
imewekwa You Tube na Blogs Kuanza kuandika....So Amesema Si kweli na
Amemuomba Diamond Msamaha, Midomo ilimponza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment