KUTOKANA NA WASANII WENGI WAIMBAJI WA WILAYANI MAGU KUTO SIKIKA KATIKA ULIMWENGU WA MUSIC KWA MUDA MREFU IMEKUWA TATIZO!!!!!
Sasa GRAB SOUND RECORDS Ipo Wilayani Kufufua na Kuendereza Vipaji Vyote vya Hapa Wilayani na Tanzania Kwa Ujumla Sasa Kama na wewe Ni Mmoja wa Sanaa Hii Nzoo sasa au wasiliana nasi Kwa Simu namba: 0764 251064 King Sele au 0758 490328 P-Tod Prod
Rapa Chris Kelly a.k.a Mac Daddy wa kundi la zamani la Kriss Kross
amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 34. Imeripotiwa kwamba rapa huyo
alikutwa nyumbani kwake huko Atlanta akiwa hana fahamu na kutangazwa
kuwa amekwisha kufa baada ya kupelekwa huko Atlanta Medical Center.
Chanzo cha kifo chake hakijajulikana bado.
Share Post
MWARICK JAPHET MUJUNGUWeb Developer
Jumuika Nami Kwenye:
ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.
No comments:
Post a Comment