Waziri
wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara
akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Sera na Mipango Gasper Mwembezi wa
wizara hiyo.
Mbunge wa Kawe Mhe. Halima Mdee (CHADEMA ),pamoja na Mhe. Ester Bulaya (Viti Maalumu-CCM)) wakiingia bungeni leo.
Waziri
wa Maliasili na Utalii pamoja na Manaibu Waziri kutoka Wizara
mbalimbali wakisikiliza michango ya wabunge wakati wa kujadili bajeti ya
Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo
Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Mhe. Adam Malima akijibu maswali ya wabunge bungeni leo.
Waziri
wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe. wasira akichangia
hotuba ya bajeti ya Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo leo.
Mhe. Michael Leizer (Longido),Mhe.Rita Kabati (Viti maalumu CCM) na Mhe. Deogratius Ntumazina(Ngara) wakiingia bungeni leo.
Wabunge wakitoka katika ukumbi wa bunge baada ya kipindi cha asubuhi kumalizika
No comments:
Post a Comment