Ndg, FAUSTINE JOHN MAARUFU (KOSOVO)
Alikuwa Mjumbe Mkuu UVCCM Wilaya Pia Alikuwa Mjumbe wa Nec na Ngazi Nyingine Nyingi Katika Chama Cha Mapiduzi Alirudisha Kadi ya Chama Hicho huku akisema Alidanganya Kwa wingi wa Madaraka Ndani ya chama Siku Zote na Hadi Leo Ajaona Mabadiliko yoyote.
TAZAMA PICHA ZA MATUKIO
HAPA AKIWASILI KATIKA MKUTANO ULIYO FANYIKA KTK VIWANJA VYA SABASABA WILAYANI MAGU
MH, DOMINIQUE BUBESHI AKIONGEA NA WANANCHI AWALI ALIKUWA KATIBU WA CUF NGAZI YA WILAYA
WANANCHI WALIUDHULIA KWA WINGI WAKISUBULI KUMONA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU AKIKABIZI KADI KWA MH, RENATUS PAMBA
MH, RENATUS PAMBA AKIONGEA NA WANANCHI AMBAYE NI DIWANI NA M/KITI WA KATA YA SINZA PIA NI M/KITI KAMATI TENDAJI JIMBO LA UBUNGO
MH, DOMINIQUE BUBESHI AKIWA NA KOSOVO
MH, RENATUS PAMBA AKIWA NA KOSOVO
NA NDIPO ALIAMUWA KUONYESHA KITAMBI CHAKE WAZI ADHARANI HUKU AKIJIANDAA KUVAA GWANDA
BAADA YA KUIVUA T-SHET HIYO WALIKUWA WAKIIFUTIA VIATU
ALIKABIZIWA CARD YA CHADEMA NA GWAKISA B. GWAKISA
HIZI NI KADI MBALIMBALI ZA CCM ZA FAUSTINE JOHN (KOSOVO)
HII NI T-SHET ALIYO KUWA AMEIVAA IKICHOMA MOTO BAADA YA KUIVUA
HUYU PIA ALIKUWA KATIBU MSITAFU CUF (W) NA ALIKUWA KAMPENI MANAGER JIBO LA MAGU MJINI NA JIMBO LA BUSEGA KATIKA UCHAGUZI MKUU NAYE PIA ALILUDISHA CARD
No comments:
Post a Comment