Naibu waziri wa Afrika
Mashariki Abdullah Juma Saddallah amepata ajali ya gari alilokua
akisafiria kwenye eneo la Kongowe Kibaha Pwani akitokea Dodoma kwenda Dar
es salaam.
Hiyo ajali imetokea leo jioni ambapo Naibu waziri amesema hali yake sio mbaya sana ila dereva ndio ameumia kiasi, bado wanapata matibabu kwenye hospitali ya Tumbi Kibaha Pwani, chanzo cha ajali amesema ni baada ya dereva wake kukwepa lori lakini hakufanikiwa na gari ikatoka nje ya barabara.

No comments:
Post a Comment