Kikosi kizima cha Tukuyu Star Family kikiwa katika picha ya pamoja kulia ni kocha Kenny Mwaisabula Mzazi na kushoto ni Makamu mwenyekiti Tukuyu star Family Peter Mwabuja. |
Kikosi cha Tukuyu Star Family na Rungwe Veterani vikiwa katika picha ya pamoja na viongozi wao kabla ya kuanza kwa mchezo wao. |
Kocha Koroso naye alikuwepo katika bonanza hilo , Koroso ni mmoja wa makocha waliofundisha mpira nchini Tanzania na nje ya nchi. |
Dasi wa Wilaya ya Rungwe Mosess Mwidete akikagua kikosi cha timu ya Rungwe Veterani kabla ya mchezo kati yake na Tukuyu Star Family. |
Kikosi cha Tukuyu Star Family kutoka jijini Dar es salaam kikiwa katika picha ya pamoja na kochwa wao pamoja na viongozi kadhaa wa timu hiyo mbele ya gari lao |
Mosess Mwidete DAS wa Wilaya ya Rungwe akizungumza na wachezaji wa Tukuyu Star Family na Rungwe Veterani kabla ya mchezo wao kwenye uwanja wa Tandale mjini Tukuyu. |
Kikosi cha timu ya Rungwe Veterani kikiwa katika picha ya pamoja kwenye uwanja wa Tandale mjini Tukuyu. |
Wadau wa Tukuyu Star Family wakijadiliana jambo katika kongamano hilo huku wakishuhudia mpambano wao kati yao na Tukuyu Star Family. |
Kocha Kenny Mwaisabula Mzazi akitoa maelekezo kwa wachezaji wake kushoto ni Moses Mkandawile na katikati ni Willy Martin “Gari kubwa” |
Mashabiki mbalimbali wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Tandale ili kushuhudia Kongamano hilo. |
Ngoma ya Asili ya kinyakyusa inayoitwa Ighoma ikitumbuizwa katika bonanza hilo kabla ya kuanza kwa michezo mbalimbali ya mpira wa miguu. |
Timu ya U14 ya Ushirika mjini Tukuyu ikiwa katika picha ya pamoja |
Timu ya U14 FOYSA kutoka jijini Mbeya kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kucheza mchezo wake na Ushirika |
Mchezaji wa timu ya FOYSA akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa timu ya Ushirika wakati timu za U14 zilipopambana katika bonanza hilo. |
Ngoma ya asili ya Kinyakyusa ikitumuiza katika bonanza hilo. |
Mashabiki na wadau wa Tukuyu Star wakishuhudia michezo mbalimbali katika bonanza hilo. |
No comments:
Post a Comment