Sunday, August 26, 2012

MWENYEKITI WA VIJANA (W) CHAMA CHA MAPINDUZI ALUDISHA KADI YA CHAMA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA WILAYANI MAGU MBELE YA MH, RENATUS PAMBA DIWANI WA SINZA


Ndg, FAUSTINE JOHN MAARUFU (KOSOVO) 
Alikuwa Mjumbe Mkuu UVCCM Wilaya Pia Alikuwa Mjumbe wa Nec na Ngazi Nyingine Nyingi Katika Chama Cha Mapiduzi Alirudisha Kadi ya Chama Hicho huku akisema Alidanganya Kwa wingi wa Madaraka Ndani ya chama Siku Zote na Hadi Leo Ajaona Mabadiliko yoyote.
TAZAMA PICHA ZA MATUKIO 
HAPA AKIWASILI KATIKA MKUTANO ULIYO FANYIKA KTK VIWANJA VYA SABASABA WILAYANI MAGU
 MH, DOMINIQUE BUBESHI AKIONGEA NA WANANCHI AWALI ALIKUWA KATIBU WA CUF NGAZI YA WILAYA

 

 
 WANANCHI WALIUDHULIA KWA WINGI WAKISUBULI KUMONA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU AKIKABIZI KADI KWA MH, RENATUS PAMBA
 
MH, RENATUS PAMBA AKIONGEA NA WANANCHI AMBAYE NI DIWANI NA M/KITI WA KATA YA SINZA  PIA NI M/KITI KAMATI TENDAJI JIMBO LA UBUNGO MH, DOMINIQUE BUBESHI AKIWA NA KOSOVO

 MH, RENATUS PAMBA AKIWA NA KOSOVO NA NDIPO ALIAMUWA KUONYESHA KITAMBI CHAKE WAZI ADHARANI HUKU AKIJIANDAA KUVAA GWANDA
 BAADA YA KUIVUA T-SHET HIYO WALIKUWA WAKIIFUTIA VIATU
ALIKABIZIWA CARD YA CHADEMA NA GWAKISA B. GWAKISA 

 
 HIZI NI KADI MBALIMBALI ZA CCM ZA FAUSTINE JOHN (KOSOVO)
 HII NI T-SHET ALIYO KUWA AMEIVAA IKICHOMA MOTO BAADA YA KUIVUA
 HUYU PIA ALIKUWA KATIBU MSITAFU CUF (W) NA ALIKUWA KAMPENI MANAGER JIBO LA MAGU MJINI NA JIMBO LA BUSEGA KATIKA UCHAGUZI MKUU NAYE PIA ALILUDISHA CARD


MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment