Saturday, September 6, 2014

Tazama Picha za Ajali Mbaya Ambayo Haijawai Kutokea Musoma,Na Kusababisha Fiesta Kuahirishwa Mkoani HapaNi ajali mbaya kuwahi kutokea katika mkoa wa Mara...Ni ajali iliyotokea leo asubui mida ya saa nne asubuhi ambapo basi la J4 lilokuwa likitoka Mwanza kwenda tarime limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza Coach ambalo lilikuwa likitoka Musoma likienda Mwanza.

Chanzo cha ajali hiyo ni gari ndogo aina ya Land Cruiser ambayo ilikuwa ikiovatek bas la J4 ndipo baada ya kupoteza uelekeo kwenye kona ilioko maeneo ya sabasaba %ziro ziro% na kuacha mwanya wa basi hizo mbili kupoteza uelekeo na kugongana uso kwa uso.

Mpaka kufikia sasa watu waliofariki katika ajali hiyo ni 70 ambapo bas la J4 limeuwa abiria wote na majeruhi wa mwanza coach ni wengi pia.

Mungu zilaze mahali pema roho hizo
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment