Wema akijifua.
Wolper.
Wasanii mahiri wa Filamu, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wakijifua kabla ya mpambano wao leo.
Mwamuzi akiamua mpambano uanze.
Wolper na Wema wakionyeshana ubabe.
Wema akipata mawaidha kutoka kwa mwalimu wake Rashid Matumla.
Waigizaji mahiri wa filamu nchini,
Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wametoka suruhu katika mpambano wao wa
raundi 2 uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar e Salaam kwenye
Tamasha la Usiku wa Matumaini.
http://irenemwamfupejamii.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment