Chameleone akiingia uwanjani kuwarusha mashabiki waliofurika Uwanja wa Taifa jana usiku
Jose akiimba na maelfu ya wapenzi wa burudani waliofurika ndani ya Uwanja wa Taifa jana usiku.
Sehemu ya maelfu ya wakazi wa jiji la Dar waliokuwa wanafuatilia shoo hiyo.
---
Mwanamuziki mahiri kutoka nchini
Uganda, Joseph Mayanja 'Jose Chameleone' jana usiku amefunika vilivyo
katika Tamasha la Usiku wa Matumaini lililofanyika ndani ya Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam. Chameleone aliwarusha mashabiki kwa baadhi
ya nyimbo zake za zamani kama Mambo bado, Kipepeo na ile mpya iitwayo
Valu Valu inayopendwa na watu wengi hapa Bongo.
No comments:
Post a Comment