Picha
ya pamoja mara baada ya Shirika la ndege la serikali ya Qatar (Qatar
airways) leo kuzindua huduma ya safari zake za anga kutoka Kilimanjaro
kuelekea sehemu mbalimbali za dunia kila siku na kufanya huduma za
safari za anga kufikia zaidi miji 118.
Mgeni
rasmi katika uzinduzi huo,waziri wa mawasiliano na uchukuzi Dr.
Harrison Mwakyembe akimkabidhi Mkurugenzi mtendaji wa masoko wa shirika
hilo Bw. Marwan Koleilat kwa niaba ya shirika hilo la ndege la
Qatar zawadi ya picha yenye kivuli cha Mlima Kilimanjaro .
Mkurugenzi
mtendaji wa masoko wa shirika la Qatar Bw. Marwan Koleilat kwa niaba
ya shirika hilo akimpa Mgeni rasmi katika uzinduzi huo,waziri wa
mawasiliano na uchukuzi Dr. Harrison zawadi ya yenye nembo ya ndege ya
shirika hilo la Qatar.
Mgeni
rasmi katika uzinduzi huo,waziri wa mawasiliano na uchukuzi Dr.
Harrison akizungumza mbele ya wageni waalikwa wakiwemo na wahariri wa
habari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani),mapema leo kwenye
uwanja wa ndege wa Kimataifa KIA.
Mkurugenzi
mtendaji wa masoko wa shirika la Qatar Bw. Marwan Koleilat kwa niaba
ya shirika hilo akizungumza mbele ya wageni waalikwa wakiwemo na
wahariri wa habari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani),mapema leo
kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa KIA.
Kutoka kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa masoko wa shirika la Qatar Bw. Marwan Koleilat,Waziri wa Uchukuzi Dr.Harrison Mwakyembe,Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya KADCO, Balozi Hassan Omar Gumbo Kibelloh
pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki
wakijadiliana jambo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya KADCO, Balozi Hassan Omar Gumbo Kibelloh
lakizungumza machache na pia kumkaribisha mgeni rasmi na wageni waalikwa
mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo mapema leo iliofanyika kwenye
uwanja wa KIA.
Wakuu wa uzinduzi wakipga makofi kwa pamoja mara baada ya uzinduzi huo.
Mgeni
rasmi katika uzinduzi huo,waziri wa mawasiliano na uchukuzi Dr.
Harrison akipiga makofi wakati kikundi cha ngoma za asili
kikitumbuiza,shoto kwake ni Mkurugenzi mtendaji wa masoko wa shirika la
Qatar Bw. Marwan Koleilat
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya KADCO, Balozi Hassan Omar Gumbo Kibelloh
akimkaribisha Mkurugenzi mtendaji wa masoko wa shirika la Qatar Bw.
Marwan Koleilat mara baada ya kuwasili na ndege ya shirika hilo aina
ya Ndege namba QR546,shoto kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii
Balozi Khamis Kagasheki.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya KADCO, Balozi Hassan Omar Gumbo Kibelloh
akimpokea Mgeni rasmi,Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe mara
baada ya kuwasili KIA tayari kwa uzinduzi
Mgeni
rasmi,Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe akishuka kwenye ndege ya
Qatar kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akiwa
ameambatana na Mkewe pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi
Khamis Kagasheki.
Ndege ya Qatar ikiwasili kabla ya kuzinduliwa rasmi KIA.
Ikifanyiwa shower kwa mbwembwe zote.
Wageni waalikwa mbali mbali wakisubiri kushuhudia uzinduzi huo.
Pichani
kulia ni Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Mhe.Novatus Makunga
akizungumza jambo na Mhariri Mkuu wa gazeti la Tanzania
Daima,Bw.Absalom Kibanda.
Baadhi ya Wanahabari Waandamizi wakiwa kwenye uzinduzi huo mapema leo kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
No comments:
Post a Comment