Polisi wakiwa wanalinda eneo la mahakama mjini New Delhi.
Kundi
la wanaume sita wa India wamefikishwa mahakamani leo kwa kosa la
kumbaka na kumsababishia kifo binti wa miaka 23, mjini New Delhi.
Wakiwa chini ya ulinzi mkali katika mahakama kwa hofu ya kutokea vurugu za makundi mbalimbali,
Ram
Singh, the juvenile ni miongoni mwa watuhumiwa hao sita anayedaiwa
kufanya vitendo vichafu zaidi ya wenzeo kwa binti aliyebakwa baada ya
kupoteza fahamu, na kwa mujibu wa taarifa za polisi kesi za watuhumiwa
hao zitaendeshwa tofauti .
Katika
kesi hiyo polisi inalenga adhabu ya kifo kama hukumu, na wakati huhuo
washtakiwa wamekiri kutenda kosa huku mawakili wa India wakigoma kutetea
watuhumiwa.
No comments:
Post a Comment