KWANZA NATOA SHUKRANI KWA MWENYEZI MUNGU KUNIFANYA NIMEIONA TENA SIKU YANGU NILIYO ZALIWA
NINAFURAHI NIKIANGALIA PICHA HII
INANIKUMBUSHA MBALI SANA KUMBE NDO NILIKUWA HIVI!!!!
SHUKURANI KWA MAMA YANGU MZAZI KWA KUNIPENDA KIPINDI CHOTE NILICHO KUWA NAYE BI, MKUBWA
LKN MPAKA SASA MIAKA MINGI ILIYO PITA:
LKN MPAKA SASA MIAKA MINGI ILIYO PITA:
THE KING
(MWARICK JUNIOR)
(MWARICK JUNIOR)
No comments:
Post a Comment