Baada ya muigizaji wa filamu na video model maarufu kwa jina la Rayuu
kusambaza picha mtandaoni zikionesha tattoo alizojichora kwenye maeneo
mbalimbali ya mwili wake kama kiunoni, shingoni, kwenye maziwa,
makalio na mapaja, watu mbalimbali wamejitokeza na kumponda.
Miongoni mwao ni mtangazaji wa kipindi cha Harusini cha DTV, Sinta
aliyeamua kuitumia website yake kumpa somo mugizaji huyi aliyeigiza
filamu kama The Image, Trinita Show, Sound of Death, One House na
zingine.
“Hivi mtasema mimi namuonea kuandika hivi ama?? mimi ni mtambo wa
kurekebisha tabia kwakweli waigizaji wengine wanatafuta umaarufu kwa
kasi sana,sasa huyu so called msanii wa
Bongo wa filamu anataka atoke,na ameshatoka sasa,una pose upigwe picha ili watu wakuone ktk mitandao ili iweje? kama sio kutaka umaarufu kunuka,” ameandika Sinta.
Bongo wa filamu anataka atoke,na ameshatoka sasa,una pose upigwe picha ili watu wakuone ktk mitandao ili iweje? kama sio kutaka umaarufu kunuka,” ameandika Sinta.
“Rayuu or whatever u call ya self wewe ni msichana mzuri kwanini
unakimbizana na umaarufu ?waacha umaarufu ukufuate sio wewe uu kimbize
ndio maana watu wanawachukulia cheap kwasababu ya matendo yenu ya
kukurupuka na upungufu wa mawazo. You wanna be rihhana sio? shame on
you!!!!!!!!!!!!!!!!!!”
No comments:
Post a Comment