13 WAFARIKI KUTOKANA NA KIMBUNGA SANDY
Mojawapo ya vimbunga vikubwa zaidi kuwahi kupiga Mashariki mwa Pwani ya Marekani kimesababisha mafuriko makubwa katika baadhi ya sehemu za mji wa New York. Maeneo mengi mjini yamewachwa katika giza baada ya huduma za umeme kukatizwa. Kimbunga hicho kilipiga ardhi kwenye Pwani ya New Jersey ...
Read More