Kama utakuwa unakumbuka hivi karibuni mtangazaji wa Clouds TV, Zamaradi aliingia kwenye headlines za kufanya mahojiano na mwanaume anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Sasa leo July 5, 2016 amezungumza na Ayo TV kueleza kile ambacho alikuwa akitarajia baada ya kurusha mahojiano hayo na kusema….‘Nilitarajia
kwamba kuna watu watakuwa hawanielewi kwa kile nilichokuwa nakifanya na
yule mtu, kwahiyo nilijua kwamba kuna aina ya watu ambao ni vigumu sana
na kama utakuwa unakumbuka kabla ya kuanza kipindi nilisema najua kuna
watu watanikosoa kwa kile ninachokirusha kwahiyo impact imekuwa kubwa’- Zamaradi
No comments:
Post a Comment