KUTOKANA NA WASANII WENGI WAIMBAJI WA WILAYANI MAGU KUTO SIKIKA KATIKA ULIMWENGU WA MUSIC KWA MUDA MREFU IMEKUWA TATIZO!!!!!
Sasa GRAB SOUND RECORDS Ipo Wilayani Kufufua na Kuendereza Vipaji Vyote vya Hapa Wilayani na Tanzania Kwa Ujumla Sasa Kama na wewe Ni Mmoja wa Sanaa Hii Nzoo sasa au wasiliana nasi Kwa Simu namba: 0764 251064 King Sele au 0758 490328 P-Tod Prod
Picha zaidi Ajali ya basi kampuni ya 'City Boy' iliyotokea jana singida
Kamanda wa polisi mkoa singida Thobias Sedoyoka amethibitisha kutokea
kwa ajali hiyo na kwamba ajali hiyo inahusisha basi lenye usajili wa no T
531 BCE likitokea dar kwenda kahama na basi T 247 linalotoka kahama
kwenda Dar yote ya kampuni moja CITY BOYS, yamegongana uso kwa uso na
kuuwa abiria 24 papo hapo na kujeruhi wengine
Kabla ya kuua watu, lilikamatwa na tochi likiwa na spidi 122km/hr. Kwa
taarifa zaidi kuhusu ajali hiyo
Share Post
MWARICK JAPHET MUJUNGUWeb Developer
Jumuika Nami Kwenye:
ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.
No comments:
Post a Comment