Siku ya Kanumba day pale Leaders Club ilizinduliwa movie ya “After
Death” kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu Kanumba ambapo ndani yake
kuna Jackline Wolper, Jennifer na Patrick watoto walioibuliwa na Kanumba
kwenye movie na wasanii wengine wengi.
Wiki hii ndio imetoka na inapatikana kwenye maduka mbalimbali,
unaweza kuitumia hii nafasi kutazama hii trailer ili upate nguvu zaidi
ya kwenda kuinunua…
No comments:
Post a Comment