Tuesday, July 30, 2013

ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA MWAKA 2013/2014


WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO  YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA   MWAKA 2013/2014 MAELEKEZO MUHIMU:
 Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka wa masomo 2013/2014 wanatakiwa kuripoti katika Vyuo walivyopangiwa tarehe 15/08/2013.

Fomu ya maelekezo (joining instruction) itatumwa kwa mhusika kupitia anuani yake. Aidha, fomu hizi zinapatikana pia kwenye
tovuti hii  kwa kubofya katika link ya Chuo husika. 
Wanafunzi wanatakiwa kufika Vyuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:
1. Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania kidato cha NNE na SITA kulingana na kozi husika;
2. Ada ya muhula wa kwanza sh.100,000/= au ya mwaka sh. 200,000/=;
 3. Sare ya Chuo kulingana na maelekezo ya Chuo husika; na
4. Fedha za tahadhari chuoni na matumizi binafsi.

Mkuu wa Chuo anatakiwa kuhakikisha wanafunzi wanaosajiliwa Chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii tu na SI vinginevyo.

Usajili wa waliochaguliwa kujiunga na Vyuo utafungwa
tarehe 25/08/2013 saa 12.00 jioni.

MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment