Trailer na info za hii movie mpya ya kumbukumbu ya marehemu Kanumba, iko sokoni.
Siku ya Kanumba day pale Leaders Club ilizinduliwa movie ya “After Death” kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu Kanumba ambapo ndani yake kuna Jackline Wolper, Jennifer na Patrick watoto walioibuliwa na Kanumba kwenye movie na wasanii wengine wengi. Wiki hii ndio imetoka ...
Read More