KUTOKANA NA WASANII WENGI WAIMBAJI WA WILAYANI MAGU KUTO SIKIKA KATIKA ULIMWENGU WA MUSIC KWA MUDA MREFU IMEKUWA TATIZO!!!!!
Sasa GRAB SOUND RECORDS Ipo Wilayani Kufufua na Kuendereza Vipaji Vyote vya Hapa Wilayani na Tanzania Kwa Ujumla Sasa Kama na wewe Ni Mmoja wa Sanaa Hii Nzoo sasa au wasiliana nasi Kwa Simu namba: 0764 251064 King Sele au 0758 490328 P-Tod Prod
MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM YAMPA DHAMANA LULU;Msanii Lulu kula Xmas akiwa kwao
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam asubuhi ya leo imempa dhamana
msanii Elizabeth Michael baada ya kupitia vifungu kadhaa na kuona kesi
yake ya kuua bila kukusudia inadhaminika. Kwa maana hiyo, Lulu
sasa atasherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka na mwaka mpya wa 2013
akiwa na familia yake, ndugu, jamaa na marafiki.
Msanii huyo
ambaye anatuhumiwa kuhusika na kifo cha msanii mwenzake, Steven Kanumba -
The Great, alibadilishiwa kosa la kuua na kuwa kuua bila kukusidia,
ambalo, kwa mujibu wa sheria linadhamnika na kwamba ikiwa mtuhumiwa
atapatikana na hatia, adhabu ya juu kabisa ni kifungo cha maisha, miaka
kadhaa au kuachiwa huru.
Share Post
MWARICK JAPHET MUJUNGUWeb Developer
Jumuika Nami Kwenye:
ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.
No comments:
Post a Comment