Tuesday, May 22, 2012

ZIARA YA MH, LEMA WILAYANI MAGU TAREHE 21/05/2012 KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

ALIWAUTIBIA WANANCHI WA MAGU
WANANCHI WA MAGU WALIJITOKEZA KWA WINGI
BAADA YA MKUTANO MH LEMA ALIONDOKA NA KUELEKEA SINGIDA JIONI HIYO HIYO KWENYE ZIARA YAKE NYINGINE
WANANCHI WALIAMUA KUMSINDIKIZA KWA KULISUKUMA GARI LA MH, HUYO KWA SHANGWE NA FARAHA KUBWA

Monday, May 21, 2012

JINSI CHRISTINA BARNABA ALIVYO KABIZIWA UMISS SCHOOL NA ALIYEKUWA MISS FARIDA

CHRISTINA BAADA YA KUTANGAZWA USHINDI

Sunday, May 20, 2012

MHT YAZIDI KUINUWA VIPAJI WILAYANI MAGU TAMASHA LILIFANYIKA JUMAMOSI YA TAREHE 19/05/2012 NA WASHINDI KUIBUKA

BAADHI YA WASHILIKI KWENYE SHINDANO LA MODEL
DULLAH DADI
BARAKA JUMA BAADHI YA WASHILIKI KWENYE SHINDANO LA MISS SCHOOL
CHRISTINA BARNABA
BAADHI YA WASHILIKI KWENYE SHINDANO LA LAPA
MKUBWA MUD
DOGO JAPHE MAMBO YALIKUWA MAZULI SANA HAPA
KAPANGO AKITOA SHOW
TUKIWA NA DJ NJUNJU NDANIII!!

CHELSEA MABINGWA UEFA 2012

TAMASHA LA KUMTAFUTA MISS SCHOOL 2012 WILAYANI MAGU LAKAMILIKA NA CHIRISTINA BARNABA KULIVAA TAJI ILO.

MISS SCHOOL 2012 CHIRISTINA BARNABA (WAPILI KULIA)NA MSHINDI WA PILI ZAHARA JUMA WAKIWA NA WADAU WA SANAA
MISS SCHOOL 2012 CHIRISTINA BARNABA (WAPILI KUSHOTO)NA MSHINDI WA PILI ZAHARA JUMA WAKIWA NA WADAU WA SANAA P TOD PRODUCER GRAB SOUND REC (WAPILI KULIA) NA O.P
AWA NDO WALIO KUWA MA MC
AWA NDO WALIO KUWA MA MC
LAPA ANAYE KUBALIKA WILAYANI JASTINI KILANGI AKITOA SHOW KWA HABARIA NA PICHA NYINGINE TUTAWAJULISHA BAADA YA MUDA KIDOGO

Thursday, May 17, 2012

BREKING NEWWWWWWWW!!!!! MCHEZAJI WA TIMU YA SIMBA PATRICK MAFISANGO AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI

Mchezaji wa Tamu ya Simba jijini dar es Salaam PATRICK MAFISANGO Afaliki Dunia Kwa Ajali ya Gari Alfajiri ya leo Majila ya Saa Kumi Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Simba bwana Aden Rage amesema kuwa taarifa za awali juu ya chanzo cha kifo cha mchezaji huyo zinasema kuwa mchezaji huyo amepatwa mauti wakati akijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki. Tutaendelea Kuwajulisheni

New: Ali Kiba ft Lady Jay Dee - Single Boy ( Official Video HD )

Wednesday, May 16, 2012

Mkuu mpya wa wilaya ya Magu Jaqueline Liana aapiswa na mkuu wa Mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo

Mkuu mpya wa wilaya ya Magu Jaqueline Liana akila kiapo mbele ya mkuu wa Mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo leo katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa Mkoa.
Picha ya pamoja ya wakuu wa wapya wilaya walioapishwa na viongozi waalikwa.