Thursday, May 17, 2012
BREKING NEWWWWWWWW!!!!! MCHEZAJI WA TIMU YA SIMBA PATRICK MAFISANGO AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
Mchezaji wa Tamu ya Simba jijini dar es Salaam PATRICK MAFISANGO Afaliki Dunia Kwa Ajali ya Gari Alfajiri ya leo Majila ya Saa Kumi
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Simba bwana Aden Rage amesema kuwa taarifa za awali juu ya chanzo cha kifo cha mchezaji huyo zinasema kuwa mchezaji huyo amepatwa mauti wakati akijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki.
Tutaendelea Kuwajulisheni
MWARICK JAPHET MUJUNGU
Web Developer
ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment