Tuesday, May 22, 2012

ZIARA YA MH, LEMA WILAYANI MAGU TAREHE 21/05/2012 KATIKA VIWANJA VYA SABASABA


ALIWAUTIBIA WANANCHI WA MAGU
WANANCHI WA MAGU WALIJITOKEZA KWA WINGI
BAADA YA MKUTANO MH LEMA ALIONDOKA NA KUELEKEA SINGIDA JIONI HIYO HIYO KWENYE ZIARA YAKE NYINGINE
WANANCHI WALIAMUA KUMSINDIKIZA KWA KULISUKUMA GARI LA MH, HUYO KWA SHANGWE NA FARAHA KUBWA
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment