Wednesday, May 16, 2012

Mkuu mpya wa wilaya ya Magu Jaqueline Liana aapiswa na mkuu wa Mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo


Mkuu mpya wa wilaya ya Magu Jaqueline Liana akila kiapo mbele ya mkuu wa Mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo leo katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa Mkoa.
Picha ya pamoja ya wakuu wa wapya wilaya walioapishwa na viongozi waalikwa.
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment