Watanzania waishio nchini South Africa wamepata nafasi ya
kuuaga mwili wa Albert Ngwea kuelekea katika safari ya
mwisho wakiongozwa na Msanii Bushoke na Mtoto wa Mhe. Kingunge
Ngombale mwiru, Kinjeketile wanaosimamia mipango ya kuaga mwili nchini Afrika kusini...
Mwili wa marehemu utaletwa Tanzania kesho saa nane.....
Watanzania waishio nchini South Africa, wamepata nafasi ya kuuaga mwili wa mwanamuziki ALBERT MANGWEA aliefia nchini humo … Hii hapa chini moja ya picha inayoonesha watu wakiaga mwili huo …
Mwili wa Marehemu Ngwair utawasili kesho jijini Dar Es Salaam na kuagwa na fans, marafiki na ndugu katika viwanja vya leaders club, kinondoni kabla ya safari ya kwenda Morogoro, ambapo atazikwa huko karibu kabisa na kaburi la baba yake mzazi …
R.I.P Albert Mangweha.
No comments:
Post a Comment