Sunday, June 30, 2013
DENTI WA KIKE APEWA KICHAPO CHA MBWA MWITU BAADA YA WAZAZI WAKE KUMNASA AKIWA GEST HOUSE NA MPENZI WAKE
Mwanafunzi mmoja
amefumaniwa katika nyumba moja ya wageni (guest house) hapo jana, tarehe
29/6/2013 majira ya saa nane mchana katika eneo la Yombo Vituka jijini
Dar es salaam.
Hata hivyo mfumaniwa mwenzake ( mwanaume ) hajakamatwa kwani aliponyoka
na kukimbia.
Wazazi wakimpiga binti yao kwa uchungu na hasira mara baada ya fumanizi.
MWARICK JAPHET MUJUNGU
Web Developer
ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment