Sunday, December 15, 2013

PICHA NA MATUKIO YA KUUWAWA KWA ALIYE KUWA M/KITI CCM MKOA WA MWANZA

PICHA NA MATUKIO YA KUUWAWA KWA ALIYE KUWA M/KITI CCM MKOA WA MWANZA

MWILI WA ALIYEKUWA M.KITI CCM MKOA WA MWANZA. NDG. MABINA ENEO LA TUKIO ENEO LA TUKIO BUGANDO AMBAKO MIILI IMEIFADHIWA MABINA ENZI ZA UHAI WAKE. ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

Breaking newsss!!!!!!!! ALIYEKUWA M/KITI WA CCM MKOA WA MWANZA AMEUWAWA NA WANANCHI

Breaking newsss!!!!!!!! ALIYEKUWA M/KITI WA CCM MKOA WA MWANZA AMEUWAWA NA WANANCHI

Breaking newsss tarifa iliyonifikia hivi punde toka magu aliyekuwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza mwaka 2008-2012 ambaye pia ni diwani wa kata ya kisesa,na aliwahi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya magu bwana clement mabina ameuwawa na wananchi wenye hasira Kali ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

Tuesday, November 26, 2013

DIAMOND ATANGAZA AJIRA KWA VIJANA.. ANGALIA AJIRA ALIZO TANGAZA HAPA!!

DIAMOND ATANGAZA AJIRA KWA VIJANA.. ANGALIA AJIRA ALIZO TANGAZA HAPA!!

   Je unaishi Dar-es-Salaam..? Unakipaji, Uwezo na Elimu ya kupiga picha, kushoot Video na kuedit...? NOTE:- 1)Uwe na Uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa.... 2)Uwe na sample za kazi kadhaa ulizowai fanya... (kushoot na Kuedit) 3)Quality ni kuanzia 1080 na kuendelea... ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

Watoto waeleza walivyotekwa na kulawitiwa na wazungu katika handaki Kinondoni, Dar

Watoto waeleza walivyotekwa na kulawitiwa na wazungu katika handaki Kinondoni, Dar

Zaidi ya watoto 60 wanadaiwa kutekwa na kufichwa katika handaki lililopo kwenye msitu wa Mabwepande, Wilaya ya Kinondoni , Dar es Salaam, ambalo ndani yake kuna jengo kubwa lenye vyumba.Utekaji huo unadaiwa kufanywa na raia wa kigeni (Wazungu), wakishirikiana na Watanzania ambapo watoto hao hufungiwa ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

Lady Jay Dee alivyoijibu kauli ya January Makamba twitter

Lady Jay Dee alivyoijibu kauli ya January Makamba twitter

Siku moja baada ya P Square kufanya show ya kihistoria Tanzania pale viwanja vya Leaders Club ,Mh January Makamba alivutiwa sana na walichofanya Wanageria wale na kutweet kuwa amependezwa sana na ile show lakini kwa upande wa nyumba tunatakiwa na sisi tujitahidi kuwainua wasanii ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

Sunday, November 24, 2013

TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHAMA

TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHAMA

1. Utangulizi Katika kikao chake cha siku mbili kilichofanyika tarehe 20 - 22 Novemba 2013, Kamati Kuu ya CHADEMA, pamoja na mambo mengine, iliazimia kunivua nafasi zangu zote za uongozi ndani ya chama. Kwa mujibu wa taarifa ya chama iliyotolewa katika mkutano na waandishi ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

Binti auawa Kimara, Dar kwa mpenzi wake akisubiri matokeo ya kidato cha nne

Binti auawa Kimara, Dar kwa mpenzi wake akisubiri matokeo ya kidato cha nne

Mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne mwaka huu, Sharifa Abdallah (18) ameuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na mbavuni chumbani kwa mvulana aliyedai  kuwa mpenzi wake maeneo ya Kimara Golani, Dar es Salaam.Tukio hilo lilitokea juzi saa 8:30 mchana na baadaye mvulana huyo ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

‘Nilikuwa naomba Mungu kila siku ili afukuzwe Chadema’ - Mama Zitto

‘Nilikuwa naomba Mungu kila siku ili afukuzwe Chadema’ - Mama Zitto

Baada ya Kamati Kuu ya Chadema kumvua uongozi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Taifa Zitto Kabwe, mama yake mzazi Shida Salum (pichani) aibuka kueleza jinsi zahama hiyo ilivyokuwa ‘ushindi’ kwa mwanae. PICHA | MAKTABA  Dar es Salaam. Siku moja baada ya Kamati Kuu ya ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

MTIKISIKO CHADEMA:BAADA YA ZITTO KUWEKWA BENCHI, ARFI ANG'ATUKA.

MTIKISIKO CHADEMA:BAADA YA ZITTO KUWEKWA BENCHI, ARFI ANG'ATUKA.

Mgogoro ndani ya Chadema umezidi kupamba moto baada ya Kamati Kuu kuwavua uongozi Zitto Kabwe na Dk Kitila Mkumbo, huku Makamu Mwenyekiti Taifa, Said Arfi akiandika barua ya kujiuzulu. Zitto alivuliwa uongozi wa Naibu Katibu Mkuu Taifa na Naibu Kiongozi wa Kambi Rasmi ya ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

PICHA:P SQUARE WALIPOISHIKA DAR PALE LEADERS CLUB

PICHA:P SQUARE WALIPOISHIKA DAR PALE LEADERS CLUB

Takriban saa 2 None Stop....P Square kwa stage Anaconda Jide akiwa na P- Square Team Anaconda ikiwajibika Kwa Stage Team Anaconda...Ni Balaa... Anaconda Jide...Kwa stage Ben Pol- Kwa stage Back Stage-Gadner Habash na Weusi Mc wa Shughuli Dullah Nyomi ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

Dk Kitila: Nilishiriki kuandaa, kuhariri waraka

Dk Kitila: Nilishiriki kuandaa, kuhariri waraka

“Nitafuata taratibu zote za chama kama zilivyoelezwa katika Kamati Kuu, nitashiriki kikamilifu katika kutuliza hali ya kisiasa ndani ya chama ili Chadema kibaki imara na kiendelee kuwa tumaini la Watanzania” Prime Dk Kitila.  Dar es Salaam. Aliyekuwa Mjumbe wa ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.