Tuesday, May 22, 2012

PAMOKO ONE LOVE WAKISHIRIKIANA NA UNDER THE SAME SUN: WAFANYA TAMASHA LA KUPINGA MAUAJI YA WALEMAVU WA NGOZI ( ALBINO) WILAYANI MAGU KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA SDA MAGU MJINI

WAKIKABIDHI CARENDA KWA MCHUNGAJI WA KANISA LA SEVEN DAY ADVENTIST (SDA MAGU MJINI)JANA
MDADA AKIIMBA WIMBO WAKE KWA HUZUNI KUBWA
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

ZIARA YA MH, LEMA WILAYANI MAGU TAREHE 21/05/2012 KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

ALIWAUTIBIA WANANCHI WA MAGU
WANANCHI WA MAGU WALIJITOKEZA KWA WINGI
BAADA YA MKUTANO MH LEMA ALIONDOKA NA KUELEKEA SINGIDA JIONI HIYO HIYO KWENYE ZIARA YAKE NYINGINE
WANANCHI WALIAMUA KUMSINDIKIZA KWA KULISUKUMA GARI LA MH, HUYO KWA SHANGWE NA FARAHA KUBWA
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

Monday, May 21, 2012

JINSI CHRISTINA BARNABA ALIVYO KABIZIWA UMISS SCHOOL NA ALIYEKUWA MISS FARIDA

CHRISTINA BAADA YA KUTANGAZWA USHINDI
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

Sunday, May 20, 2012

MHT YAZIDI KUINUWA VIPAJI WILAYANI MAGU TAMASHA LILIFANYIKA JUMAMOSI YA TAREHE 19/05/2012 NA WASHINDI KUIBUKA

BAADHI YA WASHILIKI KWENYE SHINDANO LA MODEL
DULLAH DADI
BARAKA JUMA BAADHI YA WASHILIKI KWENYE SHINDANO LA MISS SCHOOL
CHRISTINA BARNABA
BAADHI YA WASHILIKI KWENYE SHINDANO LA LAPA
MKUBWA MUD
DOGO JAPHE MAMBO YALIKUWA MAZULI SANA HAPA
KAPANGO AKITOA SHOW
TUKIWA NA DJ NJUNJU NDANIII!!
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.