Mh, Pamba jana amerudisha fomu ya kugombea ubunge jimbo la Magu mjini kupitia tiketi ya Chadema katika ofisi kuu za wilaya.
Mh, Pamba alisindikizwa na Mama mzazi pamoja na wazee na vijana wa Magu na vitongoji vyake jana tarehe 25/06/2015. Pia Mh, Pamba aliweka wazi kuwa Ameianza rasimi SAFARI YA MWOTANDOTO kuelekea Bungeni 2015.
|
MH, RENATUS PAMBA AKIKABIZI FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MAGU MJINI
(CHADEMA) MBELE YA MAMA YAKE MZAZI KATIKA OFISI ZA CHADEMA WILAYA YA
MAGU. |
|
WAZEE WA MAGU WAKIFURAHI NA MAMA MZAZI WA MH, PAMBA |
|
MH, PAMBA AKIWA NA VIJANA WA MAGU WALIOMSINDIKIZA KATIKA ZOEZI HILO. |
|
WAKAAZI WA MAGU WAKIMSINDIKIZA MH, PAMBA |
No comments:
Post a Comment