Thursday, November 6, 2014

VYAMA VYA SIASA VYAUNGANA KUPAMBANA NA UKAWA, CCM

VYAMA VYA SIASA VYAUNGANA KUPAMBANA NA UKAWA, CCM

Vyama vya siasa ambavyo havina uwakilishi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vimetangaza kusimamisha mgombea mmoja katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwezi ujao. ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2014

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2014

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS    BOFYA HAPA KUANGALI ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS, WILAYA YA MAGU

PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS, WILAYA YA MAGU

  NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS, WILAYA YA MAGU    BOFYA HAPA KUANGALI ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

MUGINI ENG MED PRIMARY SCHOOL YAFANYA VIZURI TENA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2014

MUGINI ENG MED PRIMARY SCHOOL YAFANYA VIZURI TENA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2014

PSLE 2014 EXAMINATION RESULTS MUGINI ENG MED PRIMARY SCHOOL - P1303065 WALIOFANYA MTIHANI : 40 WASTANI WA SHULE : 231.2000 NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 1 kati ya 111 NAFASI YA SHULE KIMKOA : 1 kati ya 891 NAFASI YA SHULE KITAIFA : 2 kati ya 15867  BOFYA HAPA KUANGALIA ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

Wednesday, November 5, 2014

Rais Kikwete ateua wakuu wa mikoa wapya wanne

Rais Kikwete ateua wakuu wa mikoa wapya wanne

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi nyingine. Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye sasa amehamishiwa ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

Rais Kikwete ateua makatibu wakuu wapya

Rais Kikwete ateua makatibu wakuu wapya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu wanne wapya na kuhamisha mmoja. Dkt. Donan Mmbando Rais ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

Sunday, November 2, 2014

!KAMA HAUKUPATA NAFASI YA KUTAZAMA PICHA ZOTE ZA HARUSI YA MH JOSHUA NASARI ILIVYOFANA..HIZI HAPA

!KAMA HAUKUPATA NAFASI YA KUTAZAMA PICHA ZOTE ZA HARUSI YA MH JOSHUA NASARI ILIVYOFANA..HIZI HAPA

Msafara wa gari chache majira ya saa 2:30 ulianza safari katika viwanja vya Usa-River ambako gari za maharusi zilikuwa zikipambwa mdogo mdogo zikapanda Kilima zikiwa na maharusi Joshua Nassari na Anande Nnko safari ilikuwa ni kanisa la Kipentekoste la Kilinga,Meru tayari ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

Hivi ndivyo mwili wa aliyekuwa rais wa Zambia,Michael Sata ulivyopokelewa..

Hivi ndivyo mwili wa aliyekuwa rais wa Zambia,Michael Sata ulivyopokelewa..

Mwili wa Rais wa Zambia, Michael Sata umewasili Zambia tayari kwa mazishi ambayo yamepangwa kufanyika November 11. Mwili wa rais huyo umewasili uwanja wa ndege wa Kenneth Kaunda International Airport na kupelekwa Mulungushi International Conference Centre kwa ajili ya kuendelea ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.