Saturday, September 6, 2014

MAALIM SEIF APATA AJALI MBAYA MKOANI MWANZA: ALIKUWA ANAELEKEA KWENYE AJALI ILIYOTOKEA MARA JANA

MAALIM SEIF APATA AJALI MBAYA MKOANI MWANZA: ALIKUWA ANAELEKEA KWENYE AJALI ILIYOTOKEA MARA JANA

Gari aliyokuwa amepanda MAALIM SEIF ikiwa imeharibika vibaya Na Karoli Vinsent Habari zilizotufikia mda huu Zinasema MSAFARA wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

Tazama Picha za Ajali Mbaya Ambayo Haijawai Kutokea Musoma,Na Kusababisha Fiesta Kuahirishwa Mkoani Hapa

Tazama Picha za Ajali Mbaya Ambayo Haijawai Kutokea Musoma,Na Kusababisha Fiesta Kuahirishwa Mkoani Hapa

Ni ajali mbaya kuwahi kutokea katika mkoa wa Mara...Ni ajali iliyotokea leo asubui mida ya saa nne asubuhi ambapo basi la J4 lilokuwa likitoka Mwanza kwenda tarime limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza Coach ambalo lilikuwa likitoka Musoma likienda ...

Read More
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.